Habari

Rais Magufuli aagiza viongozi mkoa wa Morogoro kuwaacha machinga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli awaagiza viongozi Mkoa wa Morogoro kuwaacha wafanyabiashara ndogondogo wafanye biashara katika kituo cha mabasi Msamvu.

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents