HabariUncategorized

Rais Magufuli afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri, Dkt Tizeba na Mhe Mwijage ‘out’

Rais Magufuli ametengua uteuzi mawaziri wawili ambao ni Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage (picha ya kwanza), nafasi zao zikichukuliwa na Japhet Hasunga pamoja na Joseph Kakunda. Aidha Rais Magufuli amemteua Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara kuwa Naibu Waziri TAMISEMI.

Hii ndio taarifa ya Ikulu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents