Habari
Rais Magufuli afanya uteuzi
Rais Dkt John Magufuli amemteua Bw. Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua Bi. Riziki Said Lulida kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.