Habari

Rais Magufuli afanya uteuzi Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemteua Luteni Kanali Frederick Milanzi kuwa Kamishna wa Operesheni wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya.

Soma taarifa kamili:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents