Rais Magufuli afanya uteuzi NBAA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amteua Prof. Isaya Jayambo Jairo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA).

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW