Habari

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TPB

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Posta Tanzania (TPB).

Rais Magufuli amemteua Dkt. Edmund Bernald Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Prof. Lettice Rutashobya ambaye amemaliza muda wake.

Soma taarifa hiyo hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents