Burudani ya Michezo Live

Rais Magufuli afunguka sababu za kumtumbua January Makamba ‘Suala la mifuko ya plastiki lilichukua miaka minne, Halikutekelezwa’ (+video)

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Julai 22, 2019 amemuapisha Waziri wa Mazingia na Muungano, Mhe. Simbachawene na Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe.

Rais Magufuli akiongea baada ya viapo hivyo, Ameeleza pia sababu za kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa wizara ya Ofisi Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. January Makamba.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW