Habari

Rais Magufuli amemteua Prof Kitila kuwa katibu mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo katika safu ya makatibu wakuu. Katika mabadiliko hayo amemteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa katibu mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Hii ni taarifa yake:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents