Tupo Nawe

Rais Magufuli amkabidhi rungu Waziri wa Maji ‘ikiwezekana kuvuta bange vuta, ili ukawe mkali kwa Mainjinia’ (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemtaka Waziri wa Maji, Prof. Mbarawa na Watendaji wake kuongeza makali kwenye utendaji kazi wao ili kuhakikisha miradi ya maji mkoani Njombe inakamilika kwa wakati.

Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo Aprili 11, 2019 akiwa kwenye ziara ya kikazi Makambako mkoani Njombe .

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW