Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Rais Magufuli ampa shavu Prof. Anangisye HESLB

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Profesa William Anangisye kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Prof. Anangisye ni Mkuu wa Chuo Kishiriki chja Dar es Salaam (DUCE).

Soma taarifa hiyo hapa chini.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW