Habari
Rais Magufuli ampigia simu bosi wa NIDA “Ondoka sasa hivi Dar uje hapa Moro kushughulikia hili tatizo la NIDA” (Video)
“Mkurugenzi ondoka sasa hivi Dar es Salaam uje hapa Morogoro kushughulikia hili tatizo la NIDA, ninataka watu waliopo wilayani wasiangaike”-Rais Magufuli.