Habari

Rais Magufuli ampokea Nkurunziza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewasili katika uwanja wa mpira wa Lemela Wilaya Ngara Mkoani Kagera ambapo amempokea Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza.

Rais Magufuli yuko ziarani Kanda ya ziwa ambapo jana alizindua barabara ya kiwango cha lami ya Kagoma- Biharamulo-Lusahunga.

Rais Magufuli alizindua barabara yenye urefu wa kilometa 154.

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents