AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Rais Magufuli ampongeza Spika Ndugai na kumkatalia likizo ‘leo usiku sijalala, nawaomba tuteseke kwa ajili ya Watanzania’ (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amempongeza Spika wa Bunge, Job Ndugai kwa kazi nzuri anayofanya kuliongoza Bunge hususani katika uundaji wa kamati za kuchunguza masuala mbali mbali ya kitaifa kama ule wa Makinikia.

Rais Magufuli ametoa pongezi hizo leo Ikulu kwenye hafla ya kuwaapisha
Mawaziri, Makatibu Wakuu na Balozi ambao amewateua jana.

Kwa upande mwingine, Rais Magufuli amemkatalia Spika Ndugai ombi la likizo kwa Makatibu Wakuu.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW