Habari
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Prof. Muhongo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prosefa Sospeter Muhongo kuanzia leo,nafasi yake kujazwa baadae.
Soma taarifa kamili:
Na Emmy Mwaipopo