Habari

Rais Magufuli amteua Anne Makinda kuwa mwenyekiti wa bodi ya NHIF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amefanya uteuzi mwingine Jumatatu hii. Miongoni mwa walioteuliwa ni spika wa zamani, Anne Makinda ambaye amekuwa mwenyekiti wa bodi ya bima ya afya ya taifa, NHIF.

6

WhatsApp-Image-20160530-36

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents