Habari
Rais Magufuli amteua Dkt. Philemon Sengati kuwa Mkuu wa Mkoa Tabora akichukua nafasi ya Mh Aggrey Mwanri
Rais Dkt John Magufuli amemteua Dkt. Philemon Sengati kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora, akichukua nafasi ya Mh Aggrey Mwanri ambaye amestaafu.