Habari

Rais Magufuli amteua Mkurugenzi Mtendaji hospitali ya Muhumbili

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemteua Prof. Lawrence Mujungu Museru kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo hapo mwazo alikuwa akiikaimu nafasi hiyo.

muh3

Soma taarifa hii kutoka Ikulu.

taarifa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents