AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Rais Magufuli amtumbua balozi wa Canada na kumvua hadhi ya ubalozi

Rais wa Tanzania,  Mhe Dk. John Magufuli ametengua uteuzi na kumrejesha nchini aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada, Alphayo Kidata pia ameondolewa hadhi ya Ubalozi.

Soma zaidi taarifa iliyotolewa Jana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano Afrika Mashariki.

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW