Habari

Rais Magufuli amtumbua Mkurugenzi huyu leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Butiama mkoani Mara Solomoni Ngiliule kuanzia leo kutokana na ubadhirifu wa fedha za Umma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo ameyasema maamuzi hayo leo tangu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipotoa maagizo kwa Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara, Bw. Raphael Nyanda kutuma timu ya wakaguzi kwenda kufanya ukaguzi maalumu katika ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Butiama.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents