Habari
Rais Magufuli amtumbua Mwenyekiti wa bodi ya udhamini ya LAPF
Utumbuzi unaendelea. Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa mfuko wa LAPF, Profesa Hawa Mlawa.
Wateja wakiwa kwenye mapokezi ya LAPF
Chini ni taarifa rasmi.