Habari
Rais Magufuli amtumbua RC Makalla usiku huu, Nafasi yake yachukuliwa na DC
Rais Magufuli jana Mei 14, 2019 ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Katavi,Mhe. Amos Makalla na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa DC wa Tunduru, Juma Homera.