Habari

Rais Magufuli aridhia maombi ya kuacha kazi akiwemo Said Mecki Sadiki

Rais John Magufuli ameridhia maombi ya kuacha kazi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Meck Sadiki na aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Alosius Mujulizi na Hillary aliyekuwa Jaji Mahakama kuu ya Tanzania.

Soma Tarifa kamili:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents