Siasa
Rais Magufuli atangaza rasmi kuwatumia wasanii wote kwenye kampeni za Urais mwaka 2020 (+Video)
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza rasmi kuwa wasanii wote atazunguka nao kwenye kampeni za Urais mwaka 2020.