Habari

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya KADCO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa bodi ya Kilimanjaro Airports Development Company(KADCO), Balozi Hassan Gumbo.

Kufuatia hatua hiyo Mhe. Rais amemteua Gregory George Teu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya KADCO kwa mujibu wa sheria kifungu 9(1) NA 2 uteuzi huo unaanza tarehe leo tarehe 16.

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents