Habari

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Waziri wa Viwanda na Biashara na Kamishna Mkuu wa TRA

Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Magufuli leo tarehe 8 Juni 2018 amemtengua Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Joseph George Kakunda na nafasi yake kuchukuliwa na Mhe Innocent Lugha Bashungwa.

Image result for RAIS MAGUFULI AMTEUA

Wakati huo huo Rais Magufuli amemteua Bw. Edwin Mhede kuwa kamishina mkuu wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)

https://www.instagram.com/p/Byb7fIQAkkq/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents