Habari

Rais Magufuli ateua kamati ya uchunguzi wa mchanga kutoka migodini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameteua kamati ya wataalam watakaofanya uchunguzi kwa lengo la kubaini kiwango cha madini kilichomo katika makontena yenye mchanga wa madini yanayoshhikiliwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

Hii ni taarifa yake:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents