Habari

Rais Magufuli atimiza miaka mitatu madarakani, haya ndio mambo makubwa aliyofanikiwa kutekeleza (+video)

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi leo Novemba 05, 2018, ameelezea mafanikio ya Rais Magufuli tangu aingie madarakani miaka mitatu iliyopita.

Dkt. Abbasi amezungumzia katika maeneo makubwa 10 ambayo serikali ya awamu ya tano imefanikiwa kupiga hatua kubwa ikiwemo Miundo Mbinu, Nishati na Usafirishaji.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents