Habari

Rais Magufuli atoa agizo zito kwa mamlaka husika kufuatia ajali ya MV Nyerere, atangaza siku nne za maombolezo (+video)

Kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa siku nne za maombolezo huku Bendera ya Taifa ikishushwa nusu mlingoti kuanzia kesho Septemba 21, 2018.

Rais Magufuli akiongea Ikulu leo Septemba 21, 2018 jijini Dar Es Salaam amesema kuwa ameagiza wahusika wa tukio hilo wakamatwe kwa mahojiano zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents