Habari

Rais Magufuli atoa neno kwenye siku yake ya kuzaliwa

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Dkt John Magufuli.

magufuli

Watu wa fani na rika mbalimbali wameendelea kumpongeza kupitia mitandao ya kijamii.

“Ninamshukuru Mungu kufikia siku yangu ya kuzaliwa,ninawashukuru watanzania nyote kwa kuniombea,” ameandika kwenye Twitter. “Nitafanya kazi kwa moyo nanguvu zangu zote,” ameongeza.

“Ninaahidi kuendelea kufanya kazi kwa moyo na nguvu zangu zote kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Mungu Ibariki Tanzania.”

Happy Birthday mheshimiwa Rais Magufuli.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents