Habari

Rais Magufuli atuma salam za rambirambi kwa familia ya marehemu Marin Hassa, aliyekuwa Mtangazaji wa TBC

Rais Magufuli atuma salam za rambirambi kwa familia ya marehemu Marin Hassa, aliyekuwa Mtangazaji wa TBC

Salamu za rambirambi kutoka kwa Rias wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa Familia ya Marin Hassan Marin alityekuwa mtangazaji wa TBC ambaye amepoteza maisha katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar Es Salaam.

“Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko taarifa ya kifo cha mtangazaji Marin Hassan, aliipenda kazi yake, aliifanya kwa weledi, alikuwa mzalendo na alidhamiria kuitumikia Nchi kupitia TBC kwa nguvu zote, natoa pole kwa TBC, Wanahabari wote na wote walioguswa, apumzike kwa amaniā€

By Ally Juma.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents