Habari

Rais Magufuli awachimba mkwara wafanyabiashara wanaoficha sukari (Video)

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewaonya wafanyabiashara walioficha sukari na kutishia kuichukua sukari hiyo na kuigawa bure kwa wananchi.

https://youtu.be/RyrU_xKoofQ

Wafanyabiashara wanaoficha sukari wana lengo kuja kuiuza kwa bei ya juu zaidi baadaye.

Rais Dkt Magufuli ametoa onyo hilo Ijumaa hii wakati akiwasalimia wananchi wa Katesh, mkoani Manyara. Alikuwa safari kutoka Dodoma kuelekea Arusha kwa gari.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents