Aisee DSTV!

Rais Magufuli awapa siku 30 wafanyabiashara 17000, aanika madudu (Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametoa siku 30, kwa baadhi ya makampuni ambayo yamekuwa yakijihusisha na ukwepaji kodi, kwa kuanzisha Makampuni hewa ya nje na baadaye kuomba punguzo la bei ya thamani kwa bidhaa wanazoziuza nje ya nchi.

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW