Habari

Rais Magufuli aweka jiwe la msingi miradi miwili mikubwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi katika miradi miwili mikubwa ambao ni mradi wa maji kutoka ziwa Victoria kwenda miji ya Tabora, Igunga na Nzega na mradi wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Tabora na amefungua barabara mbili za Tabora.


Soma taarifa kamili:


Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents