Habari

Rais Magufuli, Dkt. Kikwete waambatana Afrika Kusini kushuhudia tukio la kuapishwa Ramaphosa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameambatana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete kuelekea Afrika Kusini kwaajili ya kuhudhuria tukio la kuapishwa kwa Rais mteule wa Taifa hilo, Cyril Ramaphosa.

Image result for rais magufuli na kikwete
Dkt. Kikwete na Rais Magufuli

 

Rais Ramaphosa anatarajiwa kuapishwa kesho Jumamosi Mei 25, 2019. Hii ni baada ya kuibuka na ushindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika mapema mwezi huu.

img_20190524_112136-jpg.1106309

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents