Tupo Nawe

Rais Magufuli “Haiwezekani kila dereva anayeenda Kenya ana Corona, Mbona dereva wangu hana” – Video

“Haiwezekani kila Dereva ambaye anaenda Kenya awe na corona, mimi nina Dereva wangu hapa kwahiyo na yeye ana corona?, Dereva fungua dirisha la gari wakuone.. haya Watu wa Singida mnamuona huyu dereva wangu, mzima kabisa, anaonesha kuwa na corona jamani?”

“Corona ipo lakini naamini itaisha tu, lakini kikubwa tusiogope na wala tusitishane, hapa Singida naona hamjawa na hofu ndio maana waliovaa barakoa wachache, hata mimi sijavaa, Mkuu wa mkoa pia hajavaa, tuombe Mungu, tuchukue tahadhari lakini tuchape kazi”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW