Habari

Rais Magufuli kuzindua miradi tisa ya barabara

By  | 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli anatarajia kufungua na kuzindua miradi 9 ya barabara na uwanja wa ndege kwenye mikoa ya Kagera Kigoma Tabora na Singida.

Soma taarifa kamili:


Na Emmy Mwaipopo

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments