Habari

Rais Magufuli ‘Nilifunga ndoa hapa UDSM sikuvaa koti wala mke wangu hakuvaa shela, Uongozi ni mgumu sana” (+Video)

Rais Magufuli 'Nilifunga ndoa hapa UDSM sikuvaa koti wala mke wangu hakuvaa shela, Uongozi ni mgumu sana" (+Video)

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt, John Pombe Magufuli amefunguka na kuweka bayana kuwa hakutegemea kama atakuja kukutana na changamoto kubwa namna hii katika Uongozi wake lakini pia ameweka bayana kuwa yeye alifunga ndoa katika chuo kikuu cha Dar Es Salaam na hakuvaa kote wala mke wake hakuvaa shela.

Rais aliongeza ” Tena siku nafunga ndoa Padri alininunulia pete na akatununulia soda mimi nikanywa Pepsi mwenzangu alikunywa Mirinda”

Mbali na hilo Rais ameongelea hali ya uchumi ilivyo nchini na malengo ya serikali ya awamu ya tano juu ya kuwatumikia wanchi wake.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents