Tupo Nawe

Rais Magufuli “Niliongea na Kenyatta tumeyamaliza, Viongozi wa mikoa msitatue matatizo kwa jazba” – Video

“Niliongea na Rais Kenyatta na hata leo nimeongea naye, kulikuwa na migogoro kule, Tumekubaliana na Rais Kenyatta kwamba Waziri wa Uchukuzi wa Kenya na Tanzania, wakuu wa mikoa ya mipakani wakutane na wenzao wa Kenya kujadili na kuyamaliza.

” Viongozi wa Mikoa wasitatue matatizo kwa jazba, nafahamu ukichokozwa sana ukanyamaza na wewe unachokoza kidogo sio mbaya, ila tumeyazungumza na Kenyatta tumeyamaliza, Mawaziri na Wakuu wa Mikoa pia mkutane na wenzenu Kenya yaishe haya, ndani ya wiki hii “ – JPM

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW