Habari

Rais Magufuli “Rushwa imetenganisha mpaka ndoa za watu, anahongwa halafu anakusahau”

Rais Magufuli akiwa kwenye ziara Songwe “Rushwa imeleta madhara makubwa sana imetenganisha hata ndoa za watu, unakuta una Mke wako anapewa rushwa na Dume jingine huko anakusahau, hiyo nayo ni rushwa, mtaita ni hongo lakini ukweli nayo ni rushwa ya ngono”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents