Siasa

Rais Magufuli: Tutawaruhusu bila masharti wafungwa 1,789 wa Ethiopia (+ Video)

“Nimemueleza Rais Sahle kwamba tuna Wafungwa 1,789 kutoka Ethiopia wale wanaoingia Nchini pasipo halali wamehukumiwa kwa Sheria za Nchi, tumezungumza nae namna ya kupanga mbinu za kuwaruhusu warudi kwao, na kwa kuzingatia Undugu tunawaruhusu bila masharti”

“Rais Sahle amekubali wataenda kujadili ili Wafungwa 1,789 wa Ethiopia ambao wamehukumiwa Tanzania warudi kwao wakasaidie kujenga uchumi, wana Ndege nimemshauri wanaweza kuleta Ndege ikawachukua, na hatuna masharti hata waliofungwa leo tutawaachia”

Bofya hapa chini.

https://www.youtube.com/watch?v=Kz5x6Gzd4Ak

https://www.youtube.com/watch?v=2BnMOtA36qg

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents