Habari

Rais mstaafu Dr. Kikwete afanya ziara katika mashamba yake Jijini Dodoma (Video)

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete amefanya ziara fupi katika Jiji la Dodoma kwa lengo la kutembelea maeneo ambayo aliyanunua miaka ya 1980. Katika ziara yake hiyo, aliambatana na Mke wake, Mama Salma Kikwete, watoto wake, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin kunambi pamoja na Wataalamu mbalimbali wa ardhi wa Jiji la Dodoma.

Akizungumza katika ziara hiyo, Rais Mstaafu Kikwete alisema kuwa kutokana na mahitaji ya Mji ya sasa maeneo hayo yanahitajika kupimwa na kutengenezewa matumizi bora ya ardhi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents