Burudani

Rais Museveni Rapper?!?

Hapa juzi kati katika sherehe za Chama tawala cha Uganda NRM, mwenyekiti wa chama hicho ambaye pia ni Rais ya Uganda, Mh. Yoweri Museveni aliangusha mashairi makali ya rap na kuwaacha mashabiki wamepagawa.(Sikiliza hapa)

Rais huyo akiwa amevalia kijeshi, alisindikizwa na mke wake ambaye ni first lady wa Uganda, Janet Museveni pamoja na wanafamilia wao, alidai kuvutiwa na aina ya muziki wa rap baada ya kuwasikiliza mojawapo ya kundi la rap kutoka Entebbe, na kuelimishwa kuwa aina ya muziki unaohusisha mashairi.

Sherehe hiyo iliyopambwa na msanii Eddy Kenzo pamoja na mwana Hip Hop GNL Zamba lilipata msisimko mkubwa sana baada ya Mh. Museveni kuporomosha mawe ya burudani stegini.

Sikiliza ngoma hiyo hapa chini

{mmp3}museveni_u_want_another_rap.mp3{/mmp3}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents