Habari

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa aiomba msamaha Nigeria kutokana na machafuko ya Xenophobia- Video

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa aiomba msamaha Nigeria kutokana na machafuko ya Xenophobia- Video

Cyril Ramaphosa Rais wa Afrika kusini ameomba msamaha kwa rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na wanigeria wote walioathirika na machafuko dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini.

Kupitia kwa mjumbe wake Jeff Radebe, Ramaphosa amesema tayari nchi yake imeweka mikakati dhabiti ilikuzuia kutokea tena kwa vitendo hivyo vya chuki.

https://www.instagram.com/p/B2gi1JTgpYK/

Si Nigeria pekee kwani Ramaphosa ametuma timu ya wawakilishi wake katika nchi saba za Afrika kupeleka salamu za umoja na ushirikiano kutokana na machafuko dhidi ya wageni nchini mwake.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents