Michezo

Rais wa FIFA amtaja Mbwana Samatta, Awafariji Watanzania

Rais wa Shiriki la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino amemuambia Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa FIFA ni Shirikisho lililo la kweli na lenye uwazi na ndiyo maana wapo Tanzania kwakuwa ni sehemu ya ulimwengu ambao soka linachezwa nakuja nchi hii kuna mchezaji bora wa Afrika anaechezea KRC Genk akitokea hapa, Samatta.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents