Habari

Rais wa Misri amemaliza ziara rasmi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameagana rasmi na mgeni wake Rais wa Misri, Abdel Fattah Al Sisi ambaye alikuwepo nchini kwa ziara ya siku mbili ambapo alipewa mwaliko na Rais huyo.

Soma taarifa kamili:


Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents