Rais wa Namibia Hifikepunye Pohamba ashinda dola milioni 5 za Mo Ibrahim

Rais wa Namibia, Hifikepunye Pohamba, ameshinda zawadi ya kiongozi bora wa Afrika ya dola milioni 5 inayotolewa na taasisi ya Mo Ibrahim.

president-of-namibia-hifikepunye-pohamba-visits-finland

Hiyo ni mara ya kwanza mshindi anapatikana tangu miaka minane iliyopita. Ili kushinda zawadi hiyo, kiongozi huyo anatakiwa kuingia madarakani kwa kuchaguliwa kidemokrasia.

Pohamba, 79, anatarajia kustaafu mwezi huu

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW