Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFA) akiri kuwepokwa wizi wa kazi za sanaa (+Video)

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzani (TAFA),  Simon Mwakifamba amekiri mbele ya wanahabari uwepo wa wizi wa kazi za sanaa nchi.

Akiongea na Bongo5, baada ya mkutano na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrion Mwakyembe, uliofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, ameeleza kuwa bado kuna wzi wa kazi za sanaa nchi na wanajitahidi kukabiriana nao.

“Bado kuna wizi wa kazi za sanaa baina ya wasanii kwa wasanii ila tunajitahidi kukabiliana nalo na kulimaliza kabisa,” amesama Mwakifamba.

Pia alisisitiza tatizo la location nalo lipo hivyo wanajitahidi kukabiliana nalo na kusifu kuwa mkutano huo umevuka malengo kwa waudhuliaji kufika wengi na waneheshimu wito.

Na Laila Sued na Salum Kaorata

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW