BurudaniHabari

Raisi wa matumizi

PrezzoMsanii milionea nchini Kenya Prezzo hivi karibuni ameweka meno ya dhahabu (grillz) huko marekani yenye thamani $3500

PrezzoMsanii milionea nchini Kenya Prezzo hivi karibuni ameweka meno ya dhahabu (grillz) huko marekani yenye thamani 3500$, na anadai mastaa kibao akiwemo Bow wow wameweka grillz zao katika sehemu hiyo hiyo ambayo amefanyia yeye.

 

Prezzo aliwahi kufikia hatua ya kumuofa Alicia Keys atumie mikoko yake ya kifahari alipokuwa Mombasa , lakini demu akatoa nje na kudai hakuja kwa matanuzi bali amekuja kwa ajili ya ishu za misaada.

 

Huyo huyo Mr President aliwahi kwenda Dubai , maalum kwa ajili ya kukamata mchele tu, na wasanii kundi la G-Unit na kulipia maelfu ya dolari kwa kila saa ambalo alilitumia kuwa na machizi hao.

 

Source: Bongo5

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents