Burudani ya Michezo Live

Rammy Galis atinga kijeshi uzinduzi wa Movie ya ‘Hukumu’ aliyomshirikisha Agnes Masogange, amchana Duma(+video)

Muigizaji wa filamu Bongo Rammy Gallis usiku wa leo wa Desemba 15 amezindua rasmi movie yake ya Hukumu ambayo amemshirikisha marehemu Agnes Masogange. Katika uzinduzi huo ameonekana kutinga na vazi la kipekee huku akielezesa sababu ya kuvalia nguo hizo na huku akizungumzia kilichopeleka kufanya uzinduzi wa filamu zao siku moja na msanii mwenzake maarufu kama Duma.

 

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW