Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Ramsey awafunda wasanii wa filamu mbele ya kaburi la Kanumba (Video)

Muigizaji wa filamu wa nchini Nigeria, Ramsey Nouh ametua nchini wiki hii na Jumamosi hii ametembelea kaburi la Kanumba ambapo amewataka wasanii wa BongoMovie kupambana kama alivyopambana marehemu Steven Kanumba.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW